BREAKING: MOTO WAZUKA JENGO LA BENJAMIN MKAPA
Moto umezuka leo katika jengo la Benjamin Mkapa, Millennium Tower – Dar ambapo unasadikiwa umeanzia kwenye ghorofa ya tatu. Wageni na wafanyakazi wamekimbia kwa taharuki huku ikidikiwa kuna wengine wamekwama kwenye lifti ya jengo hilo.
Endelea kufuatilia taarifa zetu kwa habari zaidi hapo baadaye.
0 COMMENTS:
Post a Comment