BREAKING: YAELEZWA MO DEWJI ATEKWA NA WATU WASIOJULIKANA
Kuna taarifa kuwa mwanachama maarufu wa Simba na bilionea kijana wa Simba, Mohamed Dewji ametekwa na watu wasiojulikana.
Imeelezwa Mo ametekwa na watu walio na silaha za moto wakati akiingia gym ya Collesium jijini Dar es Salaam.
Taarifa zaidi tutakuletea baadaye, endelea kufuatilia Salehjembe.blogspot.com
This comment has been removed by the author.
ReplyDeletetumuombe mungu watekaji wamchie salama
ReplyDeletethis is yanga bwana lazima kombe lirudi kwa njia yoyote ile,yani kama tulivyofanya kwenye chama chetu ccm,chukua chako mapema,goli la mkono litahusika tu na hivi tambwe amerudi mambo yatakua sawa.
ReplyDeleteEnter your comment...we kwel huna hakil makalio yako huna hata chembe ya ubinadam
ReplyDelete