Omog ameendelea kusalia kwake nyumbani kutokana na kushindwa kupata timu nyingine ambayo angeweza kuifundisha.
Taarifa imeeleza kuwa sababu za Omog kuendelea kukaa nyumbani ni kushindwa kufikia mwafaka na klabu mbalimbali nchini humo na nje ya nchi haswa kimaslahi.
Kocha huyo aliyewahi pia kuifundisha Azam FC aliondoka Simba na nafasi yake kuchukuliwa na Mfaransa, Pierre Lechantre ambaye alikaa kwa muda wa miezi 6 kisha baadaye akaletwa Mbelgiji Patrick Aussems ambaye ndiye Kocha wa sasa.
Hii Blog imezidi kwa uongo..Ukweli ni kuwa Kocha Joseph Omog alitimuliwa toka klabu ya Simba Sc mwezi Desemba 2017 ambao ulikuwa msimu wa 2017/18
ReplyDeleteHii blog mnatia Aibu Sana kwa Kuwa makanjanja
ReplyDeleteMbona hamsemi kocha wa azam?