October 16, 2018




Zacharia Hans Poppe amejisalimisha mikononi mwa Polisi jijini Dar es Salaam.

Hans Poppe ataunganishwa kwenye kesi ya kugushi nyaraka na utakatishaji inayowakabiri Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’.

Mwenyekiti huyo wa zamani wa kamati ya usajili ya Simba, aliondoka nchini siku chache kabla ya Takukuru kutangaza kuwa inamtafuta.

Hata hivyo, ndugu yake alieleza Hans Poppe alivyolalamika kuhusiana na Takukuru kusema wanamtafuta wakati alikuwa akienda mara kwa mara kuhojiwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic