October 4, 2018


Video ya wimbo mpya wa mkali wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’, uitwao ‘Hela’ umefutwa katika mtandao wa YouTube saa chache baada ya kuuachia usiku wa kuamkia jana Oktoba 3, 2018.

Inasemekana kuwa msanii huyo amefuta wimbo huo  baada ya mashabiki wake kuponda video hiyo huku wengine wakidai kwamba amerudia wimbo wake wa zamani na kuubadili kidogo kisha kuuachia kama wimbo mpya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic