Kocha Soccoia Lionel wa Africa Lyon ameamua kurejea kwao kutokana na hali ngumu ya kiuchumi ndani ya klabu hiyo.
Imeelezwa, Lionel raia Ufaransa ameondoka nchini na mshambuliaji Victor da Costa ambaye alikuwa akikipiga Lyon.
Uongozi wa Lyon inayomilikiwa na mzalendo, Zamunda umekuwa mgumu kuelezea kuhusiana na wageni hao.
Suala la malipo yao ndilo lilikuwa chanzo cha kuanza kwa mzozo na uongozi na mwisho walifikia kuondoka na imeelezwa, hata hawakuaga.
Mpira pesa..
ReplyDeleteLyon wanafikiri mpira bila mkwanja upo?
ReplyDelete