Timu ya Yanga imeendeleza moto wake ndani ya Ligi kuu baada ya kufankiwa kushinda mchezo wake wa leo dhidi ya Lipuli uliochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga wamecheza michezo tisa mpaka sasa wakiwa wameshinda michezo nane na kutoa sare mchezo mmoja tu dhidi ya Simba.
Mchezo huo ambao Lipuli walizidiwa maarifa kipindi cha kwanza baada ya kuweza kuruhusu bao la mapema lililofungwa na Herietier Makambo dakika ya tisa baada ya kupokea pasi kutoka kwa Mrisho Ngassa.
Ushindi huo unawarejesha nafasi ya pili ambayo ilikuwa imekaliwa na Simba, Yanga wamecheza michez 9 na kujikusanyia pointi 25 huku Simba wakiwa na Pointi 23 na vinara wa ligi Azam wamekusanya pointi 27.
Wamebahatisha tu!huo ndio ukweli
ReplyDeletetunasubiria mtoke nje ya dar sasa
ReplyDeleteWamebahatisha nini sasa wewe? Jinga kweli
ReplyDeleteJinga mwenyewe kama sio kubahatisha funga basis bao tatu...umiliki wa Moira wenyewe ulikuwa yanga 51% kwa 49%
DeleteHata kubahatisha nao ni ushindi pia.
ReplyDeleteKama walivyokuwa na bahati Sikh walipocheza na msimbazi mikwaju 20 (on target na off target) kuelekea golini kwao dhidi ya 8 tu!lakini wakapona
ReplyDeleteHahahaha kichwa maji kwel wewe michezo 8 yote washinde kwa kubahatisha
ReplyDeleteJinga kweli..kama sio bahati mbona kama vile mnapaki basi kila mechi..ni Jana tu Yanga kaongoza kwa ball possession..hata Alliance iliwashinda umiliki..
DeleteFisi maji nyie wote mnaoamini mkienda mkoani eti mtaendelea kushinda kwa goli moja bila..wakati mnacheza Moira wa kujilinda na kubutua mbele kwa kushitukiza.Pole sana kazi mnayo ingwe ya pili!malofa kweli unachekelea raha kiduchu ya Leo ukiwa unjua kabisa itakuwa vigumu kesho
ReplyDelete