Yanga 1-0 Lipuli FC, Dk 90.
Offside ya kwanza Yanga ,Paul godfrey dk ya kwanza
Dakika ya 1 Issa Rashidi wa Lipuli anafanya jaribio nje ya 18 mpira unatoka nje.
Dakika ya 03 Makambo anachezewa rafu
Dakika ya 03 Yanga wanapata kona ya kwanza inapigwa na Shaban Kamusoko.
Dakika ya 05 Feisal anachezewa faulo.
Shuti la kwanza Yanga ndani ya goli la Lipuli dk ya 6,
Dk ya 07 Paul Godferey anamtengenezea Matheo Anthony anapaisha.
Dakika ya 08 kona inapigwa na Kamusoko kona ndefu.
09 Heritier Makambo anafunga bao la kwanza akipokea pasi kutoka kwa Mrisho Ngassa .
Rekodi
Kuotea Yanga 3-2 Lipuli
Kona Yanga 6- 1 Lipuli
Faulo: Yanga 9-12 Lipuli
Kadi za njano :- Yanga 0-2 Lipuli
Umiliki wa Mpira :- Yanga 52%- 48% Lipuli
Salehe jembe mnawapenda Yanga..Hamjawahi Fanya hiki mnachokifanya kwa timu yeyote isipokuwa Yanga.yaani kutoda data za takwimu za mcgezo.endeleeni kutupia kabao kamoja mkiwa Dar. Jueni mikoani ni Sare au kufungwa!
ReplyDelete