Mchezo ambao unaendelea kwa sasa kwenye ligi kuu ni kati ya Mbao FC ya mkoani Mwanza ambao ni wenyeji wa Mbeya City kutoka mkoani Mbeya, Uwanja wa CCM Kirumba.
Mbeya City wanaongoza kwa mabao 2 ambayo yamefungwa na Iddy Selemani dk ya 11 na Eliud Ambokile dk ya 48.
Ambokile anajikita kileleni kwa kufikisha bao la 8 kwenye ligi kwa sasa.
Mbao wanapata bao la kwanza dakika ya 83 kupitia kwa Evarigester Mujwahukwi na dakika ya 90 kwa yote akifunga kwa kichwa.
Full Time:- Mbao 2- 2 Mbeya City.
Yanga 1-0 Lipuli.
0 COMMENTS:
Post a Comment