Ligi kuu imeendelea leo katika viwanja tofauti timu kumi tayari zimekamilisha dakika tisini, mchezo wa mwisho ulikuwa kati ya Ruvu Shooting na Simba uliochezwa Uwanja wa Taifa saa 1:00, haya ni matokeo ya mechi za leo kama ifuatavyo :-
Singida United 0-1 Azam, Namfua, Singida.
JKT Tanzania 1-0 Prisons Mej.Gen.Isamuhyo, Dar es Salaam.
Alliance 1-1 Coastal Union, Nyamagana Mwanza.
Mtibwa Sugar 1-0 Kagera Sugar, Manungu Morogoro.
Ruvu Shooting 0-5 Simba, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment