Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea leo ambapo timu nne zilishuka katika viwanja tofauti kuendelea kutafuta Pointi tatu muhimu, matokeo yao ni kama ifuatavyo:- African Lyon 1-1 Biashara United, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Stand United 0- 1Mwadui FC,Uwanja wa Kambarage, Shinyanga.
0 COMMENTS:
Post a Comment