October 21, 2018



Simba wamefanikiwa kushinda mabao 3-0 dhidi ya Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa leo uwanja wa Taifa.

Kocha wa Mbao FC Amri Said amesema utulivu wa wachezaji umewasaidia kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.

Kocha wa Lipuli Seleman Matola amesema wamepoteza mchezo kutokana na washambuliaji wake kushindwa kutumia nafasi walizotengeneza wamekubali kufungwa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Samora Iringa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic