October 22, 2018


Aliyekuwa kocha msaidizi  wa timu ya Simba, Masoud Djuma amesema kuwa  anatarajia kuanza kazi rasmi leo katika timu yake mpya ambayo amesaini mkataba wa mwaka mmoja.

Djuma alisitisha mkataba na Simba kwa kile kilichodaiwa kutokuwa na maelewano mazuri na kocha mkuu Patrick Aussems,amekuwa kocha mkuu timu ya As Kigali inayoshiriki ligi kuu nchini Rwanda.

"Nipo poa kabisa nashukuru Mungu nimepata kazi, natarajia kuanza rasmi leo panapo majaliwa kuitumikia timu yangu mpya "alisema.

1 COMMENTS:

  1. Si mliandika anakwenda Yanga? Mkataba ulikuwa bado kusainiwa au imekuwaje tena?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic