MECHI KALI ZA LEO LIGI KUU Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) inaendelea leo ambapo kutakuwa na michezo minne itakayochezwa katika viwanja tofauti kama ifuatavyo:- Yanga VS Lipuli , Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Mbao VS Mbeya City, CCM Kirumba, Mwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment