October 14, 2018







Ni Zamu ya Jiji la Dar es Salaam kwa Mara nyingine tena ambapo mshindi wa droo ya 14 ya shinda zaidi na SportPesa Titus Barthazary amekabidhiwa bajaji yake baada ya kushinda na SportPesa.


Mshindi huyo ambaye anasema makazi yake makubwa yako Chalinze mkoa wa Pwani. Aliifahamu SportPesa kupitia matangazo mbalimbali kwenye Televisheni na kuupokea ushindi wake Akiwa Dar es salaam imekuwa faraja kubwa sana kwake kwani alikuja hapa jijini kumsalimia kaka yake na hakutegemea kama angepokea taarifa hizi njema za ushindi.


Barthazary yeye anafanya shughuli za kilimo na kuja kwake hapa Dar es salaam ilikuwa kumuomba kaka yake pesa ya mtaji itakayomsaidia kwenye Shughuli nyingine ukiachana na kilimo anachofanya.


"Hizi kwangu zilikuwa Taarifa za mshangao sana unajua nilikuja kwenye huu mji wenu kuomba mtaji kwa kaka yangu maana maisha ya kilimo nayo yamenichosha ukizingatia sikuwa na mtaji mkubwa kufanya kilimo cha kisasa sasa wakati kaka anajipanga na kufikiria wapi atapata pesa za kunipa kuniwezesha ndipo nikapigiwa simu kuwa nimeshinda kwanza nilihisi kuzimia kaka naye alifurahi sana maana tayari nimempunguzia mzigo," alisema Barthazary.


Aidha, Barthazary aliongeza kuwa kwa sasa anaenda kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yake kwa kuitumia bajaj hiyo aliyoshinda SportPesa kama msingi wake mkubwa kumpatia kipato huku pesa zitakazopatikana atazitumia kufungua mtaji mkubwa kuinua uchumi wake na pesa nyingine zitaingia kwenye kilimo cha kisasa na kuwalipa watu wa kumsaidia tofauti na ilivyo sasa ambapo hutumia nguvu zake pekee kuingia shambani.


Bado Bajaj RE zipo za kutosha kutoka SportPesa huku ubashiri wako wewe Mtanzania unayebashiri kila siku ndani ya masaa 24 unayonafasi kubwa ya kushinda kumbuka kucheza mara nyingi uwezavyo kwa kupiga *150*87# bila kusahau kuweka pesa kwenye akaumti yako ya SportPesa ili kubashiri mechi uzipendazo au cheza moja kwa moja kupitia tovuti www.sportpesa.co.tz, ukishinda unaletewa Bajaji yako mpaka ulipo bila kutoka hata shilingi moja.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic