October 21, 2018


Mshambuliaji wa  zamani timu ya Simba Mussa Mgosi amesema kuwa kinachowaponza Simba kushindwa kupata mabao kwa kuwa kila mchezaji anahitaji kufunga.

Mgosi amesema kuwa wachezaji wote wana uchu wa kufunga mabao hali inayowafanya washindwe kufunguka zaidi.

"Mpira ni mbinu, kila mshambuliaji wa Simba anahitaji kufunga hali inayofanya washindwe kupata matokeo wakiwa eneo la hatari kwa kuwa wanakosa utulivu,wachezaji wa Stand United sio wa kuwabeza  wana uwezo wa kubadili matokeo muda wowote"alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic