October 9, 2018




Ni muda mwingine timu ya ushindi SportPesa imeendelea na hekaheka za kukabidhi washindi wa shinda zaidi na sportpesa bajaji Re huku kipindi hiki ikiwa ni zamu ya mshindi kutoka hapa jijini Dar es Salaam


Alphonce Boniphace yeye ni mkazi wa Mbezi Lusi mshindi wa Droo ya kutoka sportpesa Tayari amekabidhiwa bajaj yake ilikuwa shangwe za kutosha wakati wa mapokezi ya bajaj hii maana mshindi huyu yeye anafanya shughuli katika duka la vifaa vya ujenzi kama muajiriwa hivyo wafanyakazi wenzake waliandaa mapokezi ya kutosha kuipokea bajaj.


Akizungumza Mara baada ya kukabidhiwa bajaj yake mpya ya ushindi Boniphace alisema hii kwake ilikuwa ndoto ambayo mara kadhaa kwa kipato alichokuwa anapata kila siku kisingemuwezesha yeye kununua bajaji ila amepagawa baada ya kuona ndoto hii imekuwa kweli na kukamiloshwa na SportPesa.


Mshindi Huyo anaelezea kuwa ni shilingi elfu tatu ndio imempa ushindi ikiwa na Mara baada ya kutupia ubashiri wake kwa kutumia njia ya ussd yani alibofya *150*87# akaweka ubashiri na kupokea ujumbe kupitia simu yake ndogo ya mkononi ukimtaarifu kuwa ameingia kwenye Droo ya kushinda bajaj.


"Kuna wakati nilishawishika baada ya kumuona Rafiki angu Pascal ambaye ndiye alikuwa mwalimu wangu na kunifanya niijue SportPesa akicheza na kushinda pesa ndipo na mimi nikajisajili na kuanza kucheza kikubwa nilikuwa nataka bajaj maana niliona kwenye mtandao wenu vile watu wanashinda nikajua na mimi ipo siku yangu nimefurahi sana jamani yani hata nashindwa kuongea " Alisema Boniphace.


Boniphance anaamini kwa hivi sasa anaenda kutoka kwenye kipato cha kati na kuenda kuajiri huku wadogo zake ambao wengi ni tegemezi na wengine wanafunzi wataisaidika na kipato kitakachopatikana kutokana na bajaj Re.


Kwa upande wa rafiki ambaye ndiye alimfundisha Boniphace kucheza na SportPesa Bwn Pascal alisema Huu ni ushindi ambao umempa na yeye hamasa ya kucheza zaidi kwani mara zote alikuwa anacheza pasipo kuamini kama anaweza kushinda bajaj ila sasa ameamini na atacheza sana.


kwa kutumia simu yeyote ya mkononi unapiga *150*87# au unacheza kupitia tovuti www.sportpesa.co.tz. kumbuka ili ucheze ni lazima uweke pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa namba ya kampuni ni 150888 na kumbukumbu namba ni 888 unapocheza mara nyingi zaidi ndio unaongeza nafasi ya kushinda.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic