VIDEO: IGP SIRRO ALIVYOFUNGUKA SAKATA LA MO DEWJI KUTEKWA Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro, amesema bado wanaendelea kumtafuta Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji, ambaye ametekwa wakati akiingia kwenye hotel ya Collesium jijini Dar es Salaam kufanya mazoezi. MSIKILIZE HAPA AKIZUNGUMZA
0 COMMENTS:
Post a Comment