Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimekubali kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Cape Verde baada ya kuruhusu mabao hayo katika mchezo wa kundi L na kuifanya ibakie na alama zake 2 ikishuka mpaka nafasi ya mwisho kwenye kundi hilo.
Wakati huo Cape Verde wamepanda juu kwa kufikisha alama 4 kwenye msimamo huo wa kundi L Timu hizo zitarudiana tena Oktoba 16, 2018 kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment