VIDEO - MCHEZAJI LIGI KUU: HATA MIMI BAO LA AJIBU LIMENISISIMUA
"Ni goli zuri ambalo mimi mwenyewe limenisisimua" - Beki wa Mbao FC Amos Charles alipigia 'salute' goli la tikitaka la Ibrahim Ajibu. Beki huyu ndiye aliyeokoa mpira kimakosa kabla ya bao hilo kufungwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment