VIDEO - TFF ILIVYOSHUSHA RUNGU KALI KWA WAKOSEFU, WAPO WATATU WA SIMBA
Kamati ya Saa 72 ya Bodi ya Ligi yaangusha rungu kwa wachezaji, waamuzi na viongozi, yamfungia mechi tatu Nahodha wa Simba John Bocco na kuwapeleka Kamati ya Nidhamu Erasto Nyoni, James Kotei na Andrew Vincent.
0 COMMENTS:
Post a Comment