October 13, 2018


Kufuatia Sakata la Kutekwa Mwkezaji wa Simba Mohammed Dewji 'MO' kuwa na maswali mengi juu ya uwepo wa dereva wake hatimaye jibu limepatikana.

Mo alitekwa na watu wasiojulikana alfajiri ya juzi Alhamisi wakati akienda kufanya mazoezi kwenye Hoteli ya Collesium iliyopo Masaki jijini Dar.

Hata hivyo kumekuwa na maswali mengi kuhusiana na Mo kwanini hakuwa na dereva wake huku wengi wao wakihoji alikuwa wapi.


3 COMMENTS:

  1. Na nyinyi mnatakiwa kukamatwa maana mnaandika mambo nusu nusu yasiokamilika

    ReplyDelete
  2. Mwndishii kenge kabsaa...umeandika nn sasa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic