VIDEO - STARS KUONDOKA LEO JUMMANE, WATAKAOONDOKA HAWA HAPA
Serikali imewaomba watazania kuendelea kujitokeza Kwenda nchini Cape Verde kuishangilia timu ya taifa ya Tanzania,Taifa stars
Akizungumza na wandishi wa habari jinin Dar es salaam Mkurugenzi wa maendeleo ya michezo nchini Yusuph Singo amesema bado nafasi ipo wazi kwa watanzania kusafiri na timu kesho kuelekea Cape Verde.
Kwa upande wake makamu wa raisi wa TFF amewatoa hofu watanzania kuhusiana na maandalizi ya mchezo huo.
Stars itaondoka kesho saa tano usiku na ndege ya serikali kuelekea nchini Cape Verde na itashuka dimbani kuwakabili wenyeji hao oktoba 12.
Video zako hazi support mobile phone view rekebisha
ReplyDeleteKuwa makini na uandishi
ReplyDeletewako,watakaondoka wapo wapi?
Acha uhuni mkuu,hao wanaoondoka hujawataja,huo ni wizi wa bando kama wizi mwingine,kumbuka unaotufanyia hvi ndio wateja waako tunaotembelea web yako kila siku.
ReplyDeleteMambo yenyewe ni mkatomkato ovyoovyo sukuma twende almuradi anapokea chake inatosha
ReplyDelete