VIDEO: WALIOSHIKILIWA NA POLISI KWA KUMTEKA MO HAWA HAPA, SIMBA YAPIGA DUA
Jeshi la Polisi limekiri kuwashikilia watu kadhaa kwa mahojiano kuhusiana na kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji aliyetekwa alfajiri ya Oktoba 11.
Mbali ya hivyo, klabu ya Simba SC nayo imefanya dua maalum kumuombea Mo.
Manara kakamatwa.Ni msemaji wa Simba na kiongozi wao wa kazi alioajiriwa kuifanaya ya kuwapasha wanasimba nini kinaendelea kuhusiana na mustakabadhi wa Simba kapotea na hakuna dalili ya majibu rasmi nini kinaendelea juu ya upotevu wake. Tunajua Manara anaushawishi mkubwa ndani ya mashbikki wa Simba labda kutokana na ukweli huo wa ushawishi wake wenye nguvu wa kusema kitu na kusikilizwa na maahabiki wa Simba ndio sababu ya Manara kakamatwa kuepusha kuja kusema kitu kitakachoweza kuwajaza munkari mashabiki wa Simba na kufanya vurugu ila watanzania hawahitaji Manara kukamatwa wanahitaji kupatikana kwa Mo na kila siku zinavyokwenda bila majibu ndivyo ustahamilivu wa wanasimba na wananchi unazidi kufifia. Manara akisema kitu kuhusiana na Mo haisemei familia bali anafanya kazi yake iliyomueka Simba.
ReplyDeleteWako wapi hao walioshikiliwa na police?
ReplyDeleteWako wapi hao walioshikiliwa na police?
ReplyDelete