VIDEO: KOCHA SIMBA ATAJA SIFA ZA MBADALA WA MASOUD DJUMA
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema sifa ambazo anataka awe nazo kocha msaidizi ambaye atakua naye katika kuendeleza kikosi cha Simba hatimae kutetea Ubingwa wake.
Mr Patrick amesema kikosi cha Simba kinahitaji mwalimu msaidizi ambae atakua mzoefu wa Ligi na kuweza kuwahamasisha wachezaji kufanya vizuri na kubakiza ubingwa katika klabu yao.
0 COMMENTS:
Post a Comment