November 12, 2018



Beki mwenye umbo la miraba minne ndani ya Simba, Patric Wawa amempa jeuri kocha Mkuu Patrick Aussems ya kutokuwa na presha ya kusajili mabeki kwenye usajili wa dirisha dogo kwa kuwa anafanya kazi yeke ipasavyo.

Aussems alisema kuwa kwa sasa hafikirii kuongeza beki wa kati ndani ya kikosi chake kwa kuwa wale waliopo wanatosha na wanafanya kile ambacho anawaelekeza hali inyompa amani.

"Nafasi ya beki wa kati sifikiri kama nitaongeza mchezaji ,hawa waliopo wakiongozwa na Wawa ni wazuri na wanaonyesha uwezo mkubwa katika mechi zetu wanazocheza," alisema.

Mabeki wa kati wa Simba Erasto Nyoni, Juuko Murshid na Paul Bukaba wameonyesha juhudi za kutosha katika michezo yao kwani wamefanikiwa kuruhusu mabao 4 katika mechi 11 walizocheza Simba.

4 COMMENTS:

  1. Mh mh mh wakati yanaonekana makosa ya dhahiri na pia kumbuka Luna timu za kiarabu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna beki isiyofanya makosa na hakuna beki isiyopitika football it's works team..?jiulize beki gani asiyepitwa au timu ipi ina beki isiyopitika?

      Delete
  2. kotei akicheza kati, hata defence inaimarika, kumbka save vs JKT, na secnd match na waarabu

    ReplyDelete
  3. Paschal wawa na Juuko Naona ni nzuri kwasababu Juuko anatumia nguvu na wawa akili Isipokuwa wanatakiwa wajipange Nani aende Nani abaki wakimudu Hivyo ni pacha nzuri Nyoni Yuko slow Sana ila anatumia akili wawa ni mwepesi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic