Wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika wa BBC sasa wamejulikana huku wachezaji wawili kutoka Senegal wakipata nafasi.
Sadio Mane na Kalidou Koulibaly wa Senegal ndio wamepata nafasi hiyo huku Medhi Benatia wa Juventus na Morocco akiingia wakati mtetezi ni Mohamed Salah. Mwingine ni Thomas Partey kutoka nchini Ghana.
Medhi Benatia Kalidou Koulibaly Sadio Mane Thomas Partey Mohamed Salah
0 COMMENTS:
Post a Comment