November 28, 2018



Takwimu za leo Simba wakicheza mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mbaingwa Afrika dhidi ya Mbabane Swallows FC mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mchezo huo ulikuwa na ushindani huku wenyeji Simba wakianza kwa kasi na kutulia dakika kipindi cha pili kisha wakaamka tena dakika za lala salama na kuweza kuibuka na ushindi wa mabao 4-1.

Takwimu zao zote za leo ni kama ifuatavyo:-

Mashuti yaliyolenga lango:- Simba 9 - 3 Mbabane.

Faulo:- Simba 12-16 Mbabane.


Kona :- Simba 10-3 Mbabane.


Kadi ya njano:- Simba 1-0 Mbabane.


Nje ya Lango:- Simba 12 -4 Mbabane.


Kuotea :-  Simba 3-2 Mbabane.


Umiliki wa Mpira:- Simba 59%- Mbabane 41.



4 COMMENTS:

  1. Manara mwenyewe anaita mwana ukome iyo

    ReplyDelete
  2. Manara mwenyewe anaita mwana ukome iyo

    ReplyDelete
  3. Manara mwenyewe anaita mwana ukome iyo hii ndio simba ya kimataifa

    ReplyDelete
  4. Waliokuwa wanaizomea simba wako wap na vijimabango vyao?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic