March 31, 2021


KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kina mechi zake nne kwa mwezi Aprili kusaka pointi tatu muhimu katika Ligi Kuu Bara.

Kwenye msimamo kipo nafasi ya kwanza na pointi zake ni 46 baada ya kucheza mechi 20.

Ratiba yake ambayo imetolewa leo Machi 31 itaanza Aprili14 ni Simba v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkapa.

Mwadui FC v Simba itakuwa Aprili 18, Uwanja wa Kambarage.

Kagera Sugar v Simba itakuwa ni Aprili 21, Uwanja wa Kaitaba.

Gwambina v Simba ni Aprili 24, Uwanja wa Gwambina Complex.

Simba v Dodoma Jiji itakuwa ni Aprili 27, Uwanja wa Mkapa.

3 COMMENTS:

  1. Mwandishi inamaana Simba wanaongoza ligi maana umesema wapo nafasi ya kwanza

    ReplyDelete
  2. Anaitabiria mema Simba kwakuwa pindi ikiwa kama atamaliza viporo vyake Mpaka akafikia idadi ya mechi kama zile za Yanga na huku Yanga ikangoja

    ReplyDelete
  3. Hahaha ndoto za kuota mchana hizo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic