VIDEO - HEHE!! HIZI MBWEMBWE ZA MGOMBEA SIMBA KWENYE KAMPENI NI BALAA
Baadhi ya viongozi mbalimbali kupitia nyadhifa tofauti tofauti katika klabu ya Simba tayari wameaza kampeni zao kuelekea uchaguzi mkuu wa makatibu na wenyeviti, huku kila mgombea akinadi sera zake akieleza ni jinsi gani atainua klabu hiyo.








0 COMMENTS:
Post a Comment