VIDEO: BAO LA MAKAMBO LILIKUWA JEPESI, KOCHA AFUNGUKA Licha ya kuifungia Yanga bao moja na pekee la ushindi, Kocha Msaidizi wa Lipuli, Seleman Matola, aliibuka na kueleza kuwa bao hilo alilofunga Heritier Makambo, lilikuwa jepesi.
0 COMMENTS:
Post a Comment