VIDEO: NAMNA YUSUF MANJI ALIVYOREJEA KWA KISHINDO KIKUBWA YANGA
Mwenyekiti wa baraza la Wadhamini Yanga SC, George Mkuchika, amewatuliza mashabiki na wanachama wa Yanga kwa kuwaonyesha barua rasmi iliyoandikwa na Mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuf Manji, ikieleza kuwa amerejea rasmi Yanga na anatarajia kuanza kazi Januari 15, 2019.








Unaweza ukawa mwizi tena mzuri tu but mwisho Wa siku na wewe mwenyewe ukaibiwa,sasa sijajua utalia au VP?
ReplyDeletecjakuelewa unachomaanisha
ReplyDelete