Mapema baada ya mchezo wa Ligi Kuu bara kati ya Yanga na Lipuli FC kumalizika kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa bao 1-0, Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, hakusita kuibua ya moyoni.
Zahera amewataaja baadhi ya wachezaji juu ya viwango walivyoonesha kwenye mechi hiyo, jina la Tambwe lilihusika pia.
TAZAMA ZAHERA ANAVYOFUNGUKA HAPA








0 COMMENTS:
Post a Comment