December 21, 2018



Maendeleo ya kipa kinda wa Yanga, yanatia moyo kwa kuwa anaendelea vizuri kwa sasa.

Ramadhani Kabwili aliumia wakati wa mechi ya Ligi Kuu Bara, Yanga ikiivaa African Lyon kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha na Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0.

Wakati mchezo huo unaendelea, Kabwili alikimbizwa hospitalini kutokana na maumivu makali ya nyonga yake.

Kabwili, alitolewa mapema dakika ya 40, baada ya kuumia nyonga ambayo ilielezwa baadaye ilivimba.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic