December 17, 2018


Mashujaa, timu ya vijana ya taifa chini ya miaka 17, Serengeti Boys wamerejea nchini na kupolekewa kwa shangwe kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Serengeti Boys wamefanikiwa kubeba ubingwa wa Kanda ya Cosafa katika mashindano yaliyofanyika nchini Botswana.

Vijana hao waliwatwanga Angola kwa mikwaju 6-5 ya penalti katika mechi ya fainali.



1 COMMENTS:

  1. Wanastahiri pongezi. Waende bungeni kabisa hawa wapewe pongezi ili iwe hamasa kwao kufanya vzr zaidi kwenye michuano inayofuata ambayo ni ya ngazi na hadhi ya juu zaidi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic