December 20, 2018

4 COMMENTS:

  1. I think tactically we surprised KMC with that lineup. They prepared to face Okwi, Kagere and Boko. That tricky won us the game. Applaud to the coaching staff and players for taking good care of our badge. A game afer another is our focus, let’s kill Nkana on Sunday in sha allah.

    ReplyDelete
  2. Ni vizuri kocha akawa anawaamini hawa wachezaji wana vitu vya kuongeza kwenye timu. Angalia Salamba, Haruna, Ndemla Jurko na karibu wote waliperform vizuri, Lakini vilevile Dida anaongea na kuipanga defence yake ili kupunguza makosa. Ni maoni yangu binafsi kocha aichanganye timu ili J2 Nkana wapate ladha tofauti na waliyoiona Kitwe. In-shaallah

    ReplyDelete
  3. Nkana imekula kwayo. Kama waliwahi Tanzania ili kuja kuisoma Simba pale Taifa basi aliewashauri kawaingiza mkenge. Simba wana professional coach wasifikiri ile Simba ya mazoea na kocha tayari ameshawapiga Nakana bao moja matata kabla hata mechi kuanza. Kwa vyovyote vile mechi ya Jana kati ya Simba na KMC imewavuruga sana Nkana na kuwaweka katika hali ya mkanganyiko zaidi kuelekea mechi yao na Simba jumapili.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic