Wanachama nane wa Yanga wanachunguzwa na Serikali kwa kudaiwa kuwashinikiza wenzao kwa ajili ya kugomea uchaguzi wa timu hiyo usifanyike kutokana na kuendelea kumtambua Yusuf Manji kama Mwenyekiti wa timu hiyo.
Kwa wasomaji wa Blog yetu pendwa ya michezo hakikisha una nifollow INSTAGRAM kwa kubonyeza link iliyopo hapo Juu tutakudodoshea Upates zote za michezo kuanzia sasa.
Asante
BONYEZA HAPA ===> SALEH JEMBE SPORTS
0 COMMENTS:
Post a Comment