December 16, 2018


Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamepoteza mchezo wao wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF CL) kwa kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Mashetani Wekundu wa Nkana FC katika mchezo uliopigwa mjini Kitwe nchini Zambia jana.  

Baada ya mchezo huo, mashabiki wa Simba waliokuwa wakiufuatilia kupitia Azam TV wametoa maoni yao, huku wakiuchambua mchezo huo, na wengine wakimkosoa kocha wa timu hiyo Patrick Aussems.

8 COMMENTS:

  1. Kuna baadhi ya mashabiki wamezunguza vitu vya ufundi kabisa kwani kocha wa Simba aliendana na kinyume na kauli yake aliyoitoa kabla ya mechi yakwamba watakwenda kucheza na Nkana kwa lengo la kuumiliki mpira zaidi zidi ya wapinzani wao na ili timmu kumiliki mpira zaidi hapana shaka lazima eneo la midfield lipewe uwezo mkubwa zaidi kuliko eneo la ushambuliaji kwa bahati nzuri zaidi Simba wana midfields straikas wa kutosha wenye wa kubadilika na kuwa fowadi kwa gemu ya ugenini kwa timu yenye uzoefu wa mashindano ya kimataifa kama Nkana hakika kocha alipaswa kujaza midfields wengi zaidi kuliko fowadi.

    ReplyDelete
  2. Simba ni timu ya kawaida sana,ila kelele ndiyo nyingi!

    ReplyDelete
  3. Simba ni timu ya kawaida sana,ila kelele ndiyo nyingi!

    ReplyDelete
  4. Tatizo letu Watz wrote ni makocha! Kocha Fanya kazi yako matokeo ya 2 - 1 si mabaya tunaweza kurekebisha nyumbani! Vigogo vinapigwa 5 0; 4 0; pale Kitwe na kila timu inapata matokeo nyumbani! Big Up Patrick piga kazi kesho watakusifia haohao!

    ReplyDelete
  5. Mashabiki wa tz wanalomoni sana reali alipigwa mbili ujeruman wa wosbg wakaenda kushinda tatu akuna shabiki aliye jaji man city kwenye uefa kapigwa na llyon mnajua kilichotokea kati ya psg vs liverp mpira wa sasahivi kushinda ugenn ni nadra sana mama nyie ata wao wamejipanga wametumia uwanja wao na sisi nikutumia uwanja wetu sio kulaumu mademu nyie

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic