December 16, 2018

10 COMMENTS:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Huyu kocha pumbavu, why asimteme kindoki pesa anazolipwa apewe kakolanya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanaodai unaambiwa wapo 10, hizo pesa za kindoki zinatosha? Style ya madai ya Kakolanya ni ya hovyo na inahatarisha umoja wa team

      Delete
  3. tumetatua tatizo kwa muda mfupi. binafsi naona atasaidia kwa gme zilizosalia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sure, Kakolanya ni mfanyakazi, sio shabiki wa Yanga, kwa matatizo yaliyopo yanga tunahitaji wachezaji wawe wazalendo kidogo. Coach yupo sahihi

      Delete
    2. Sure, Kakolanya ni mfanyakazi, sio shabiki wa Yanga, kwa matatizo yaliyopo yanga tunahitaji wachezaji wawe wazalendo kidogo. Coach yupo sahihi

      Delete
  4. Kila kazi ina mwenyewe, kwa sasa kocha ndiyo mwenye dhamana,sabab zilizimfanya Kakolanya atemwe ni tofauti na sabubu za kusajiliwa kwa Boban. Kimsingi kakolanya amefanya makosa yanayoweza kushusa moral ya team, na kurudi kwake kikosini pia kungeleta matatizo coz watu wenye madai kma yeye wapo wengi na hawakulipwa mpaka sasa. Kwa matatizo yaliyopo yanga tunahitaji mchezaji mwenye moyo wa kishabiki. Unaondokaje kambini na team ina match kibao

    ReplyDelete
  5. tumetatua tatizo kwa muda mfupi. binafsi naona atasaidia kwa gme zilizosalia

    ReplyDelete
  6. Tusichanganye vitu jamani,tusilinganishe viwango vya wachezaji hawa wawili ili kupata justification kuwa Yanga wamekosea kumuacha Kakolanya.Tuangalie sababu za Kakolanya kutokuwa Yanga tena na sababu za Boban kujiunga Yanga kamwe hazifanani.
    Yanga imeachana na Kakolanya kwa staili yake aliyotumia kudai maslahi ambayo ingesababisha mvurugiko timu nzima sababu anayedai sio yeye tu kocha alishawahi kusema wapo zaidi ya 10.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic