January 6, 2019




BEKI kiraka wa Simba, Erasto Nyoni dakika ya 42 anapata majeraha ya goti baada ya nahodha wa KMKM kumchezea rafu wakati wa hekaheka za kutafuta ushindi kwenye mchezo huo.

Nyoni anatolewa akiwa kwenye machela baada ya kupata majeraha hayo ambayo yanamfanya ashindwe kuendelea kwenye mchezo huo.

Nafasi ya Nyoni inachukuliwa na Said Ndemla dakika ya 44 huku matokeo yakiwa ni suluhu kwa pande zote mbili muda anaotoka Nyoni.

4 COMMENTS:

  1. Kulikuwa hakuna haja ya Kocha Patrick kuchezesha wachezaji muhimu ona sasa wanaumizwa umizwa na vitimu vinavyokamia kutafuta sifa....pengo la Nyoni ni kubwa kwenye mechi za kimataifa

    ReplyDelete
  2. Duuh pigo kubwa sana Get well soon our Soldier

    ReplyDelete
  3. Mchezaji anaweza kuumia hata kwenye mazoezi. Tuache blaming game. Tumuombee apone haraka. Kapombe aliumia kwenye mechi?
    Ali Kheri wa Azam aliumia kwenye mechi?
    Huwezi ku fore see kwamba wachezaji wataumia.

    ReplyDelete
  4. Au haruna niyonzima huumia kwenye mechi...Juuko Murshid ni beki mzuri

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic