MCHEZO wa kombe la Mapinduzi kati ya KMKM na Simba umekamilik katika Uwanja wa Amaan, Visiwani Zanzibar ikiwa ni kipindi cha pili na Simba wakifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0.
KMKM ya Zanzibar walianza kipindi cha kwanza wakiwa chini huku Simba wakishambulia kwa kasi hali iliyowafanya Simba wawe na umiliki wa mpira mkubwa, KMKM wakishambulia kwa kushtukiza.
Ilibidi Simba wasubiri kwa muda wa dakika 84ili kupata bao la ushindi lililofungwa na mshambuliaji Rashid Juma ambaye alimalizia mpira uliomshinda mlinda mlango wa KMKM kwa kichwa.
Simba wameshusha muziki mnene Uwanjani na KMKM wameshusha muziki mzito hali inayofanya kuwe na ushindani mkubwa Uwanjani.
Huenda Simba wakaelewa sasa kuwa ushindi hauji kwa kujaza uwanja tu.Wameshindwa kufanya usajili wa maana wa striker. Sasa watamuelewa Shafii kuwa ktk group D ni zaidi ya underdog.
ReplyDeleteKulikuwa hakuna haja ya Kocha Patrick kuchezesha wachezaji muhimu ona sasa wanaumizwa umizwa na vitimu vinavyokamia kutafuta sifa....pengo la Nyoni ni kubwa kwenye mechi za kimataifa
ReplyDeleteKwani Simba wameshacheza makundi?
ReplyDeleteAu ni doomsayers wameanza ramli zao.
Hivi nani hafungwi?
Kelele za striker huwa zinasikika na kupotea kwa idadi ya magoli Simba wanayofunga.
ReplyDeleteWakifunga goli 4 kimyaa.Wakifunga goli 1 ohh kwanini Simba haisajili striker. SIMBA imefunga magoli 12 nä kufungwa 4 kwenye michezo 4 iliyochezwa.
Kuweni na heshima mnapolaumu.
Real Madrid licha ya kupiga mashuti 28 langoni kwa Real Sociedad lakini hawakuweza kufunga hata goli moja na kufungwa goli 2 tena nyumbani.
ReplyDeleteMpira ndio ulivyo.Au nao wanajitaji striker mpya wa maana?
Walikuwa hawafungwi kabla?
Wacheni ushabiki wa maandazi. Kujenga timu ni process mafanikio hayaji mara moja .Simba itafika inapokusudia.
Mipango thabiti,uwekezaji,subira.
Tutafika yenu.Simba nguvu moja.
Leo underdog alikuwa nani Real Madrid na Real Sociedad.
ReplyDeleteAu tumuulize Shafi Dauda?