January 25, 2019


WAWAKILISHI pekee wa timu kutoka Tanzania ambao wamebaki hatua ya nusu fainali kwa sasa ni Mbao wanacheza na KK Sharks hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Cup.

Dakika 90 zinakamilika kwa timu zote mbili kumaliza bila kufungana hali inayopelekea kumtafuta mshindi kwa mikwaju mitanomitano ya penalti.

Mashabiki wa Mbao wengi wapo Uwanja wa Taifa wakisubiri kuona namna itakavyokuwa kutokana na timu zote kubwa Simba na Yanga kushindwa kufika hatua ya fainali ya michuano ya SportPesa pamoja na Singida United zote za Tanzania.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic