January 25, 2019


HATIMAYE timu zote za Tanzania zimeishia hatua ya nusu fainali na kufanya mchezo wa fainali kuzikutanisha timu mbili kutoka Kenya kucheza fainali kwenye ardhi ya Tanzania.

Walianza Simba kufungwa mabao 2-1 kwenye mchezo uliochezwa saa 8:00 mchana kisha kikosi cha Mbao kikafuata kwa kupoteza mbele ya KK Sharks kwa kufungwa penalti 6-5.

Matokeo hayo yanafanya mchezo wa mshindi wa tatu kuzikutanisha timu kutoka Tanzania ambazo ni Mbao na Simba siku ya jumapili saa 8:00 mchana huku fainali ikizikutanisha KK Sharks na Bandari zote za Kenya saa 10:00 jioni Uwanja wa Taifa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic