Kufuatia kichapo cha mabao 5-0 ilichokipata Simba katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba, amesema bado hawajakata tamaa.
Makamba ambaye ni shakibi damu wa Simba, anaamini kuwa timu yake itaendelea kujiandaa vema na mechi zijazo ili ije kufanya vizuri.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter ambao mara nyingi hupenda zaidi kuutumia, ameandika kuwa kupoteza dhidi ya Vita si mwisho wa safari na haitawakatisha tamaa.
Acha ukanjanja, sasa hili ni tamko la Serikali!? Hayo ni maoni binafsi ya shabiki
ReplyDeleteSerikali iko nyuma ya simba
ReplyDeleteMwandishi huo ni upotoshaji kuwa makini, hii ni personal opinion yaa Makamba na wala sio msimamo wa serikali...
ReplyDeleteWaandishi wamebobea kwenye ushabiki na siyo weledi wa habar zao
ReplyDelete