January 13, 2019


Baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura jana kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, wachezaji watatu wa Simba wamesafiri leo kuelekea Zanzibar kuongeza makali ya Mapinduzi CUP.

Haruna Niyonzima, Rashid Juma na Shiza Kichuya ndiyo waliosafiri kuelekea visiwani humo tayari kwa fainali hiyo.

Simba ilitinga fainali baada ya kuiondoa Malindi FC kwa mikwaju ya penati ikiwa ni baada ya dakika 90 kumalizika kwa suluhu ya 0-0.


3 COMMENTS:

  1. Hahahahahahahahhahaahahah hahahahahahahahhahaahahah Hii ni ya mwaka huu Tyu au na mwaka Jan ??

    ReplyDelete
  2. Hahahahahahahahhahaahahah hahahahahahahahhahaahahah Hii ni ya mwaka huu Tyu au na mwaka Jan ??

    ReplyDelete
  3. Ni shida hii fainali inafavour zaidi azam

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic