TAMKO LINGINE LATOLEWA NA MKUCHIKA KUHUSIANA NA MANJI KURUDI YANGA
Imeelezwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini wa klabu ya Yanga SC, George Mkuchika amesema watu wamemnukuu vibaya kuhusiana na kurejea kwa Yusuph Manji ndani ya klabu ya Yanga.
Mkuchika amesema yeye alisema mwenyekiti (Manji) atarejea klabuni kuanzia Januari 25 na si 15.
Mkuchika ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Yanga, amewataka wanayanga waendelee kuwa na subira kipindi hiki kwani atarejea bila wasiwasi.
Kauli ya Mkuchika imekuja mara baada ya kuandikwa na kutangazwa kuwa alsema Manji atarejea tarehe 15 kumbe si sahihi na badala yake ni 25.
Wakati huo uchaguzi mdogo wa Yanga ambao ulisimamishwa na Mahakama utafanyika hivi karibuni baada ya mahakama hiyo kuthibitisha waliopeleka mapingamizi hawakuwa na vigezo.
mantap bos,..
ReplyDeleteMmmmmmm... Baada ya hapo ni tarehe 35
ReplyDeletekwakweli hata mtoto atajua tu hapa nadanganywa itakuwaje mtu mzima?
ReplyDeleteahaaaa jamannnnnnn
ReplyDeleteHee.... Hyo taarifa imekaa kisiasa... Hapana chezea Mwanasiasa,et tarehe 25...�� �� ��
ReplyDeletenice,.
ReplyDelete