Mjadala mkubwa unatakiwa kulinusuru Soka la Tanzania....kuanzia TFF Bodi ya Ligi kuna yafuatayo ambayo yanaua soka 1. Ubadhirifu wa Pesa,Wizi, madeal ya wajanja wajanja katika kuuza na kuingia mikataba ya jezi na Matumizi mabovu ya pesa (Vyama vya Soka mpaka Klabu) 2. Rushwa katika Waaamuzi wa Soka ngazi zote 3. Upangaji mbovu wa Ratiba za Michezo ya Ligi huku baadhi ya timu zikipewa upendeleo maalumu kwa sababu ya upenzi wa Baadhi ya Viongozi wa Soka 4. Kutokuwa udhamini wa mashindano, hakuna sera na viongozi wenye weledi na wanaojua kutafuta vyanzo vya mapato na masoko kwaajili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wa timu za mpira wa miguu 5. Hakuna ushirikiano wenye tija kati ya TFF na vilabu vyote....baadhi ya vilabu hasa vya Dar Es Salaam kupata "preferential treatment" over others....
Mjadala mkubwa unatakiwa kulinusuru Soka la Tanzania....kuanzia TFF Bodi ya Ligi kuna yafuatayo ambayo yanaua soka
ReplyDelete1. Ubadhirifu wa Pesa,Wizi, madeal ya wajanja wajanja katika kuuza na kuingia mikataba ya jezi na Matumizi mabovu ya pesa (Vyama vya Soka mpaka Klabu)
2. Rushwa katika Waaamuzi wa Soka ngazi zote
3. Upangaji mbovu wa Ratiba za Michezo ya Ligi huku baadhi ya timu zikipewa upendeleo maalumu kwa sababu ya upenzi wa Baadhi ya Viongozi wa Soka
4. Kutokuwa udhamini wa mashindano, hakuna sera na viongozi wenye weledi na wanaojua kutafuta vyanzo vya mapato na masoko kwaajili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wa timu za mpira wa miguu
5. Hakuna ushirikiano wenye tija kati ya TFF na vilabu vyote....baadhi ya vilabu hasa vya Dar Es Salaam kupata "preferential treatment" over others....