February 21, 2019


MABINGWA wa kihstoria wa Ligi Kuu Bara Yanga, leo wamerejea wakitokea mkoani Mwanza baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Mbao FC Uwanja wa CCM Kirumba.

Leo watapumzika kwa ajili ya kuweka miili yao sawa kisha kesho wataanza safari kuelekea mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wao wa FA dhidi ya Namungo FC utakaochezwa Uwanja wa Majaliwa.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kati ya Februari 24 siku ya Jumapili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic