February 21, 2019



WAKALA wa mshambuliaji wa Real Madrid, Jonathan Barnett ameutaka uongozi wa timu umuheshimu Bale kutokana na mchango wake ndani ya klabu hiyo.
 Barnett  amesema: " Kama mchezaji ameshinda kila kitu akiwa na timu anahitaji heshima kubwa zaidi. Ameshinda Ligi ya Mabingwa mara nne ndani ya miaka mitano.
Amefunga mabao muhimu kwenye historia ya klabu. Bale anahitaji kucheza mechi zote ndani ya klabu. Unadhani anafurahia akiwa anasugua benchi?.
"Amerejea mwezi December na amefunga hat trick kwenye nusu fainali ya kombe la klabu bingwa dunian. Aliumia mwezi januari na aliporejea uwanjani alianza kwa kufunga ndani ya dakika chache dhidi ya Espanyol.Kisha kqenye mechi inayofuatawakaanza kumpuuzia. Unadhani katika hali ya kawaida utafanya nini?.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic