July 6, 2017KWA msimu huu wa maonyesho ya Sabasaba, kampuni maarufu ya simu za mkononi nchini Tanzania, Tecno, inazidi kuendelea kuwajali wateja wake bila ya kujali vipato vyao.


Kupitia simu ya Tecno WX3 LTE ndiyo simu imenunuliwa zaidi na wateja wengi wameonyesha kuvutiwa na simu hiyo ambayo si bei ghali lakini ina uwezo wa juu kimatumizi kuanzia kupiga ujumbe mfupi na mtandaoni.

Tecno WX3 LTE imetambulisha sokoni simu mpya maarufu kama TECNO DUDE, simu hiyo imekuja kama mkombozi kwa Watanzania wenye kipato cha chini waliokua hawana uwezo wa kumiliki simu zenye teknolojia ya kisasa ya kimtandao na zenye kasi ta 4G (fourth generation).

Tecno imekuletea simu hiyo ambayo utaipata kwa Sh 180,000.


Simu hiyo ambayo mbali na kupatikana madukani mbalimbali hapa nchini, pia ukifika kwenye Viwanja vya SabaSaba inapatikana.

Mzee leo nimekamata hii ni Tecno WX3 LTE au TEcno Dude baada ya kwenda Sabasaba. Hakika ni bonge la simu kuliko nilivyokuwa nikifikiria hapo awali, FIKA SABASABA KATIKA BANDA LA TECNOUKAMATE BONGE LA SIMU

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV